Dawa za kulevya mpaka kwenye pipi Zanzibar
Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar, Kanal Burhan Zuber Nassor, ametangaza mafanikio ya operesheni maalum iliyofanyika kuanzia Januari 25 hadi 29, 2026 katika mikoa ya Kusini Unguja na Mjini Magharibi, kwa lengo la kudhibiti mbinu mpya ya usambazaji

