Changamoto zaendelea kuliandama zoezi la BVR
DAFTARI la kudumu la mpiga kura katika halmashauri ya Makete nako limeghubiKwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ya printa kutofanyakazi vizuri katika siku ya kwanza na kuandikisha watu 2153 huku mtu mmoja vidole kushindwa kabisa kusoma na kurudishwa