TFF,TPBL yaweka ratiba sawa kuepuka lawama Bodi ya Ligi Tanzania TPBL imesema imeweza kukutana na Uongozi wa TFF na kujadili juu ya mabadiliko ya Ratiba yaliyokuwa yakijitokeza katika michuano ya Ligi kuu Soka Tanzania Bara. Read more about TFF,TPBL yaweka ratiba sawa kuepuka lawama