Ramadhani bila samaki? uhaba watingisha soko

Upatikanaji wa samaki jijini Tanga umeendelea kuwa kitendawili, hasa katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambapo mahitaji ya kitoweo hicho huongezeka kwa kasi, wakati meza nyingi za futari zikitegemea samaki kama chakula kikuu, hali imekuwa tofauti sokoni — samaki ni wachache

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS