Mahakama yashindwa kuendelea na kesi ya Lissu

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa hadi kesho baada ya Mahakama kushindwa kuendelea na usikilizwaji kufuatia mjadala mzito kuhusu notisi ya upande wa Jamhuri ya kuwasilisha ushahidi mpya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS