Samsung yatambulisha toleo jipya la Galaxy S26

Dunia ya teknolojia imetikisika. Jumatano ya Februari 25, 2026, itabaki kwenye kumbukumbu kama siku ambayo kampuni ya Samsung imeweka alama nyingine ya kihistoria baada ya kuzindua rasmi toleo lake jipya la simu za mfululizo wa S, maarufu kama Galaxy S26 Series.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS