Max Rioba anahitaji msaada wa Mil 108 kutibiwa nje
Meneja wa zamani wa wasanii na Digital Creator Max Rioba anahitaji msaada wa Dola 42,000 (Tsh Milioni 108) za kwenda kutibiwa nje ya nchi kutokana na tatizo la Achalasia linalomsumbua kwa muda mrefu.

