Young Thug kuachia Album mpya
Msanii maarufu wa hip hop, Young Thug, amefichua rasmi jina la albamu yake ijayo itakayojulikana kama “DBC”. Tangazo hilo amelitoa kupitia mtandao wa kijamii wa X, baada ya awali kuwapa mashabiki dokezo kupitia Instagram.

