
Kushoto ni aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, na kulia ni mbunge wa sasa wa jimbo hilo, Dkt. Tulia Ackson.

Aliyekuwa mtia nia Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Leonard Manyama

Mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski akishangilia bao alipofunga katika usiku wa Ulaya.

Picha kubwa ni gari ya msanii 20 Percent

Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella.

Gwiji wa zamani wa Argentina, Diego Maradona( Kulia) alipopeana mkono na Ronaldinho Gaucho (Kushoto).

Mkuu Wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro

Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na FC Barcelona Lionel Messi ndio aliibuka mshindi wa tuzo hii mwaka 2019

Kushoto ni Halima Mdee na kulia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika.