Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Zitto akiri yupo tayari kwa kifo

Saturday , 24th Mar , 2018

Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa yupo tayari kusema asante siku yake ya kutwaliwa ikifika kwani anauhakika amejitahidi sana katika kuuweka mkoa wake wa Kigoma kwenye ramani.

Zitto ameyasema hayo kupitia waraka wake ambapo amedai kwamba Kiongozi huw anawaza kizazi kijacho na mwanasiasa huwaza uchaguzi ujao na kwa upande wake wakati anaingia bungeni alimuomba Mungu amsaidie kupitia yeye watu waone ufakhari kutoka Kigoma.

Aidha Zitto ameongeza kwamba hakuna mtu wa Kigoma anayeoona aibu kusema anatoka Kigoma hiyo ni kutokana na mshikamano walioutengeneza.

"Leo hata mola akisema Bwana Mwami funga siku zimetimia, nitasema Asante Mungu. Nitakuwa natabasamu maana nimeweka tofari zangu kupandisha nyumba yetu Kigoma juu ya msingi Imara kabisa. Watoto na Wajukuu watasema alikuwepo Mwami. Alikuwepo Kiongozi. Wataendeleza kazi" Zitto. 

Ameongeza kwamba wanaowaza "Uchaguzi unaofuata hawana miadi na mungu. Wanaojiapiza kuhusu uchaguzi unaokuja hawajawahi hata kuchaguliwa kwenye kitongoji cha kwao walipozaliwa". 

Mbali na hayo Mbunge huyo amefunguka kwamba demokrasia ndiyo imetoa  nguvu kubwa ya kupiga hatua ikiwa ni pamoja na sauti ya kusikika "Anayetaka turudi kwenye ukiritimba ni adui mkubwa. Tutampiga tu".
 

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao