Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe. Bahame Nyanduga

Mkurugenzi mkuu wa EWURA, Felix Ngamlagosi
Baadhi ya watumiaji wa mafuta wakiwemo madereva wa bodaboda wakiwa wamefurika katika kituo cha mafuta
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage akijibu moja ya maswali yaliyoelekezwa kwenye wizara yake katika kipindi cha maswali na majibu
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kapteni Mstaafu Asery Msangi.
Mwakilishi mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kilimo na Chakula FAO nchini Siera Leone Dkt. Gabriel Rugalema.

Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Uwekezaji na Uwezeshaji Mhandisi Christopher Chiza

Katibu Mkuu wa CCM, Abdrulrahman Kinana akizungumza wakati wa mapokezi yake kuingia mkoa wa Mwanza.

Baadhi ya Wagombe waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kwa chama cha Mapinduzi, CCM,