Wednesday , 16th Aug , 2017

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Issabela Mpanda au Bella Fasta amewatolea povu wasanii wenzake wa kike wenye tabia ya kupenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wanaowazidi umri, na kuwaambia kuwa hawajielewi

Isabela Mpanda na Jacline Wolper

Akizungumza na mwandishi wetu, Bella Fasta amesema wasanii hao wanapenda ku 'fake' maisha, na ndipo wanapoangukia kwenye mambo ya kutia aibu, licha ya matukio mbalimbali  waliyoipitia kwenye mahusiano yao siku za nyuma.

Msikilize hapa akitema povu la hatari.