Kushoto ni aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali na kulia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Mkali wa mabao wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Ubelgiji, Romelu Lukaku (Kushoto) akishangilia bao na Kocha wake Antonio Conte katika moja ya mchezo wa Serie A.
Prof. Mohamed Janabi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo(JKCI)
Upande wa kulia kwenye picha ni msanii Shetta, kushoto Mwana Fa
Kulia ni Harmonize na H Baba, kushoto ni Barnaba Classic
Ajali ya Lori na Costa, mkoani Morogoro.
Jaji Mstaafu Harold Nsekela Kamishna wa Maadili, Ofisi ya Rais Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma.
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akikagua baadhi ya mbolea zinazozalishwa viwandani (Picha na maktaba)
