Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

''Wenzenu mnatukwaza kwelikweli'' - Mwana FA

Monday , 15th Oct , 2018

Mkali wa HipHop Bongo, Mwana FA, amewachana mashabiki wake kuwa wanamkwaza kwelikweli kwa kuandika 'comment' za matangazo kwenye 'post' zake anazoweka kwenye mtandao wa Instagram.

Mwana FA

Kupitia ukurasa wake wa 'Instagram' Mwanafalsa amedondosha ujumbe mzito ambao ameeleza kuwa umetoka rohoni mwake, huku akiambatanisha picha mpya ambazo zinaonesha sio mazingira ya kawaida na kudhaniwa ni 'Location' ya 'video' yake mpya.

Picha hizo zimemvutia 'producer' wa 'show' kubwa ya muziki nchini, Planet Bongo ya East Africa Radio, Grayson Gideon ambapo moja ameiita kama picha ya siku ya leo huku akiweka wazi kuwa hadhani kama kuna ujio mpya wa msanii huyo kwani hiyo sio dalili ya Mwana FA kuachia ngoma.

Hata hivyo mashabiki wake wamemcharukia staa huyo kwa kumwambia waondio wamemuongezea idadi ya wafuasi mitandaoni, hivyo anavyowazuia kutangaza biashara zao nao wanaweza kuamua kutomfuata na mwisho wa siku hatakuwa na wafuasi.

HABARI ZAIDI

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini