
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Leylah Fernandez, akishangilia ushindi wake kwenye hatua ya robo fainali ya mashindano ya US Open baada ya kumshinda Elina Svitolina

Djuma Shaban ni miongoni mwa wachezaji wanaotarajia kukosa mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Rivers United.

Picha ya Pamoja Msanii Vee Money na Rotimi

Kushoto ni Hayati Dkt John Magufuli na kulia ni Hayati Benjamin Mkapa

Waziri mwenye dhamana ya Michezo, Innocent Bashungwa(Katikati), akiwa na Rais wa TBF, Phares Magesa (Kushoto) na katibu wa BMT Neema Msitha (Kulia) wakiwa katika picha ya pamoja.

Mchezaji Novatus Dismus akishangilia bao alilofunga dhidi ya Madagascar ambapo Tanzania ilishinda bao 3-2.

Wachezaji wa Taifa stars wakishangilia goli