Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Salama Jabir amenitoa machozi" - Gigy Money

Wednesday , 29th Jan , 2020

Msanii wa muziki Gigy Money, amesema amekutana na wakati mgumu sana alipofanya mahojiano na mtangazaji Salama Jabir, hali iliyompelekea kumwaga machozi katikati ya mahojiano yao.

Kushoto pichani Gigy Money, kulia ni Salama Jabir

Gigy Money ni mmoja wa wasanii ambao watakuwepo kwenye show mpya ya SalamaNa, chini ya mtangazaji mkongwe nchini Tanzania Salama Jabir  na itaruka kupitia East Africa TV kila siku ya Alhamisi kuanzia 3:00 usiku.

"Salama ni mtangazaji mkubwa na mtu mwenye hadhi ya kufanya mahojiano na sisi, huwa hacheki kirahisi, akiuliza swali yupo makini sana na akikupiga jicho huwa anamaanisha anachokuuliza, pia nililia kwa sababu alikuwa na maswali nyeti,yeye kina, uelewa na ukweli" ameeleza. 

"Uwepo wangu kwenye kipindi chake ina maanisha mimi ni staa kuliko wengine, na ugumu ambao niliokutana nao kwake sikuweza kudanganya, halafu nina hisia za haraka sana" ameongeza. 
 
HABARI ZAIDI

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini