
Mgombea mwenza wa Urais nchini Marekani kupitia chama cha Democratic.
Hayo yamejiri katika mkutano wa chama hicho mara baada ya Harris kushindwa katika kura za maoni zilizompendekeza Biden kuwa mgombea kupitia chama hicho.
Kamala Harris mwenye umri wa miaka 55 na Biden 77, wamejipanga kumpindua Rais Donald Trump katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Novemba mwaka huu.