Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Watoto 11 wakamatwa kwa kuiba nyumbani kwa Askari

Friday , 6th Nov , 2020

Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora linawashikilia watoto 11, ambao ni wanafunzi wa shule za msingi kwa tuhuma mbalimbali za uvunjaji, uporaji na unyang’anyi wa kutumia nguvu na silaha katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Tabora mjini na kwamba walivunja nyumba ya Askari mstaafu na kuiba.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, ACP Barnabas Mwakalukwa.

Kauli hiyo imetolewa hii leo Novemba 6, 2020, na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Barnabas Mwakalukwa, na kusema kuwa watoto hao ni wenye kati ya miaka 10 hadi 14.

"Hawa watoto walivunja nyumba ya Askari mstaafu na kuiba, Laptop 1, simu 1 na Solar pannel, walipohojiwa walikiri kuhusika na matukio ya wizi, tunaendelea kuwahoji ili tupate mtandao wao wote na kumaliza kabisa hili tatizo ambalo kwa sasa hapa Tabora limeanza kuibuka tena", amesema ACP Mwakalukwa.

Tazama video hapa chini.
 
HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao