Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

NEC yapigilia msumari viti maalum CHADEMA

Friday , 27th Nov , 2020

Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Mahera, amesema kuwa wabunge wanawake wa viti maalum wa CHADEMA waliteuliwa kwa kuzingatia taratibu zote kikatiba  na kisheria kupitia orodha ya majina ya wanachama waliopendekezwa  iliyowasilishwa na Katibu mkuu wa chama hicho kupitia barua yake.

Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Mahera

Tume ya Taifa ya Uchaguzi  imesema kuwa wabunge wanawake wa viti maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) waliteuliwa kwa kuzinagtia taratibu zote za kikatiba na kisheria kupitia orodha iliyowasilishwa na chama hicho.

Kupitia taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Mahera Charles, ambayo imeeleza kuwa katibu wa Chadema aliwasilisha orodha ya majina ya wanachama wanaopendekezwa kuteuliwa katika nafasi hiyo katika barua  yenye kumb. Na.C/HQ/ADM/20/TU/05/141.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Katibu wa Bunge, Ndg Stephen Kagaigai (waliokaa) katika picha ya pamoja na  Wabunge 19 wa Viti Maalum kutoka CHADEMA mara baada ya kuwaapisha katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Aidha Dkt. Mahera amesema kuwa Tume ilipokea barua ya CHADEMA tarehe 19/11/2020 na kuteua wabunge na madiwani wanawake wa viti maalum kwa kuzingatia matakwa ya katiba na sheria tarehe 20/11/2020

Taarifa hii ya Tume inakuja kufuatia madai ya CHADEMA juu ya wabunge wake waliopishwa bila kufuata taratibu na kanuni za sheria

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao