Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

EPL, LA Liga na Everdise kuchezwa katikati ya wiki

Tuesday , 12th Jan , 2021

Kunako EPL Jumanne hii, Sheffield United uso kwa uso na Newcastle United. Sheffield ya msimu huu ni tofauti na ilivyokuwa msimu uliopita. Vijana wa Bramall Lane wameambulia pointi 2 katika michezo 17 ya EPL wakiwa wanashika mkia kwenye msimamo wa ligi hiyo.

Mechi zitakazopigwa katikati ya wiki hii

Newcastle United ameshaokota pointi 19 katika michezo 16 aliyocheza mpaka sasa na anashika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa EPL. Licha ya kuwa na viwango duni, Sheffield United amepatiwa odds ya 2.65 ni Meridianbet pekee unapoweza kupata odds za kibingwa kama hizi.

Siku ya Jumatano, Fulham atakichafua dhidi ya Tottenham. Huu umekuwa ni msimu wa neema kwa Fulham ambao wamerejea kwenye EPL baada ya kusota Championship. Baada ya michezo 15, Fulham anapointi 11 akiwa nafasi ya 18 kwenye mstari wa kushuka daraja. Spurs anashika nafasi ya 4, pointi 4 nyuma ya vinara Liverpool. Meridianbet tumekuwekea Odds zinazoendana na mchezo huu ambapo Spurs amepatiwa nafasi ya kumuadhibu Fulham kwa Odds ya 1.53.

Alhamisi tunahitimisha EPL kwa kuwashuhudia Arsenal vs Crystal Palace. Baada ya kucheza michezo 17 kila mmoja, Arsenal na Palace wamepishana kwa pointi 1 pekee. Matokeo ya ushindi kwa timu yeyote kati yao, yataongeza wigo wa tofauti ya pointi. Meridianbet tumekuwekea odds ya 1.62 kwa ushindi wa Arsenal.

Jumanne hii kuna moto utawaka pale Estadio Wanda Metropolitano, Atletico Madrid kuwaalika Sevilla. Hapatoshi! Atletico bado wanashikilia msimamo wa La Liga Sentander wakiwa wamepoteza mchezo 1 pekee kati ya 15 waliyocheza mpaka sasa. Meridianbet tumekuwekea Odds ambazo kimsingi hazipatikani popote ila kwenye nyumba ya mabingwa pekee!! Atletico Madrid amepatiwa faida ya kuendelea kuwa wababe kwa Odds ya 2.15.

Kule nchini Uholanzi, ligi soka nchini humo – Everdise itapambwa kwa mchezo wa PSV vs AZ Alkamaar siku ya Jumatano usiku. PSV na Alkamaar wamepishana pointi 6 tu baada ya michezo 15 kwa kila timu. PSV anashika nafasi ya 2 nyuma ya Ajax wakati ambapo Alkamaar anakamata nafasi ya 5 kwenye msimamo wa Everdise msimu huu. Meridianbet tumewaheshimu PSV na kuwapatia faida kwa odds ya 1.85, tunaposema nyumba yenye odds kubwa, tunamaanisha!! Ungana na mabingwa wa michezo ya kubashiri!

Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

HABARI ZAIDI

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini