
Picha ya Gamc Wanyatu na Zuchu
Gamc Wanyatu anasema ngoma za wasanii kama Diamond Plantnumz Platnumz, Alikiba, Harmonize, Darassa, Mr Blue, Fid Q, Nandy na Zuchu ngoma zao zinapendwa sana kwenye Radio,TV na Club.
Pia ameongeza kusema Zuchu ame-take over Denmark kwa sababu Denmark wanapenda sana nyimbo zake kwa sasa, zinapewa time kubwa na anajitahidi.
Zaidi mtazame hapo chini kwenye video.