Thursday , 2nd Sep , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 2, 2021, amekutana na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima, na kuhoji kwamba tunachanja ama hatuchanji.

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Hayo yamejiri hii leo akiwa njiani maeneo ya Tegeta akielekea Bagamoyo kwa ajili ya kurekodi filamu ya kuutangaza utalii uliopo nchini Tanzania Kimataifa.

Tazama video hapa chini