Picha ya pacha wa Mose Iyobo
Mr Bigibigi anaendelea kusema katika kuonyesha uhalisia wa kitu ndiyo imempelekea kuuvaa uhusika wa mtu anayetaka kumuigizia sauti yake.
Mpaka sasa ameweza kuiga sauti za mastaa kama Mose Iyobo, Hemedy PHD, Shilole,na Haji Manara.