
Rafael Nadal ameshinda kwa mara ya 29 dhidi ya Novak Djokovic
Nadal ambaye ni bingwa mara 13 wa michuano hii ameshinda mchezo huo kwa seti 3-1 kwa ushindi wa seti 6-2 4-6 6-2 7-6 mchezo uliochezwa kwa masaa 4. huu pia ni ushindi wa 29 kwa Nadal dhidi ya Djokovic kwenye michezo 59 waliokutana huku Djkovic akiwa ameshinda mara 30.
katika hatua ya nusu fainali Rafael Nadal atacheza dhidi ya Alexander Zverev siku ya ijumaa, Zverev ametinga hatua ya nusu fainali kwa kumnyuka Carlos Alcaraz kwenye mchezo war obo fainali kwa seti 6-4 6-4 4-6 7-6 (9-7).
.