
Miti
Mkuu wa wilaya ya Igunga Sauda Mtondoo, amesema changamoto hiyo ilitatuliwa baada ya kuwahusisha wazee wa kijiji hicho na hatimaye kufanikisha zoezi la kuhesabu kaya hiyo ambayo ilikuwa na mtazamo wa kutokuhesabiwa.
hayo yamebainishwa kwenye kikao cha tathimini ya utekelezaji wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022, katika mkoa wa Tabora kikiongozwa na Mkuu wa mkoa huo Balozi Dkt .Batilda Burian, ambacho pamoja na mambo mengine kililenga kupokea changamoto ambazo ziliibuka katika utekelezaji wa zoezi hilo.