
Fedha ya Ghana imeshuka thamani kwa kasi kubwa mwaka huu huku mfumuko wa bei ukifikia 37% .
Serikali ya Rais Nana Akufo-Addo imekua ikitoa sababu zinazopelekea hali hiyo kuwa ni vita vinavyoendelea nchini Ukraine na janga la UVIKO 19.
Jumatatu ya wiki hii wahadhiri wa vyuo vikuu nchini humo waligoma , wakishinikiza kulipwa posho zao. .