Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Laini za simu milioni mbili hatarini kuzimwa

Tuesday , 24th Jan , 2023

Serikali inatarajiwa kuzima laini za simu zaidi ya milioni mbili ifikapo Februari 13 mwaka huu iwapo wamiliki wake hawatakuwa tayari kuzihakiki

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye amesema lengo ni kuwadhibiti matapeli wa mitandaoni

Aidha Waziri NAPE amesema serikali imeteua kamati ya  watu tisa watakaokuwa na jukumu  la kutathimini uchumi wa wanahabari.

Waziri Nape amewataka watanzania kuhakiki laini zao kwa kuwa yoyote aliyesajili kwa uongo hawezi kuhakiki laini hiyo

"Kuna laini nyingi mtaani, ambazo watu wametumia vitambulisho vya watu wengine kusajili laini, na zinatumika kufanya utapeli, kwa hiyo laini tunazokwenda kuzizima ni zile ambazo zimesajiliwa, lakini zimesajiliwa kwa uongo," 

"Kama hujaisajili kwa uongo nenda kaihakiki, yoyote aliyesajili kwa uongo hawezi kuhakiki, kwa sababu ule utaratibu wa uhakiki utamnyima baadhi ya taarifa" amesema Waziri Nape

HABARI ZAIDI

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini