Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Uwekezaji
Uteuzi huo umeanza tarehe 02 Aprili, 2023
Aidha wa Rais Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Amemteua Prof. Ulingeta Obadia Lebson Mbamba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa kipindi cha miaka mitatu (03)
Prof. Mbamba anachukua nafasi ya Prof. Blasius Bavo Nyichomba ambaye amemaliza muda wake.
Uteuzi huo umeanza tarehe 29 Machi, 2023.




