Rekodi za Chelsea Kiboko FA Cup, yaipiku Liverpool
Mchezo wa fainali ya kombe la FA (FA Cup) nchini England unaozikutanisha Livepool na Chelsea leo jioni, mchezo unaochezwa katika dimba la Wembley Jiji London England ni fainali ya 141 ya michuano hii mikongwa kabisa Duniani.