Naibu Waziri Ridhiwani aonya ucheleweshaji hati
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete ameonya kuwa hatopenda kusikia malalamiko kutoka kwa mwananchi ambaye tayari amekamilisha taratibu za kumilikishwa ardhi analalamikia ucheleweshaji wa hati na kuwataka maofisa wa ardhi kuwa waadilifu ili kutenda haki k