Tanzania kupunguza uzalishaji wa gesi joto Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo amesema Tanzania imepanga kupunguza uzalishaji wa gesi joto kwa asilimia 30 hadi 35 ifikapo mwaka 2030. Read more about Tanzania kupunguza uzalishaji wa gesi joto