Wanne wa familia moja wajeruhiwa na Fisi
Watu wanne wa familia moja wakazi wa kijiji cha Kilino kata ya Isanzu Wilayani Nzega Mkoani Tabora wamejeruhiwa vibaya na Fisi maeneo mbalimbali ya miili yao wakati wakiwa shambani wakinyunyuzia dawa katika mimea ya pilipili hoho