Kudhalilisha vyama vya siasa iwe mwisho - Mbowe
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuacha tabia ya kurushiana maneno ya matusi na ya kuudhi kwenye mitandao au mikutano ya kisiasa