Zuchu awajibu BASATA "Mmetuonea"

Picha ya Diamond na Zuchu kwenye video ya Mtasubiri

Kutoka Lebo ya WCB msanii Zuchu amewajibu Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kuwaambia wamewaonea kuifungia video ya mtasubiri aliyofanya na Diamond Platnumz.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS