Geita ya moto, Mpole hakamatiki Ligi Kuu

Kocha wa Geita Gold, Fredy Felix Minziro alipokuwa na mazungumzo na Waandishi wa Habari

Klabu ya soka ya Geita Gold imefanikiwa kutinga tatu bora kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara kufuatia matokeo ya ushindi wa bao 1-0 walioupata dhidi ya Kagera Sugar ya mkoani Kagera.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS