George Mpole amefunga bao la 11, Geita 2-2 Azam
Geita Gold FC na Azam FC zimegawana alama moja moja kwenye mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania bara uliochezwa leo Jioni katika dimba la Nyankumbu mkoani Geita baada ya mchezo huo kumalizika kwa sare ya mabao 2-2.