Mkulima arudisha begi la pesa aliloliokota

Kushoto ni Baraka Amidou na kulia ni Gavana wa Borgou Kaskazini mwa Benin Djibril Mama Cissé

Mkulima mmoja nchini Benin, Baraka Amidou (37), amepokea tuzo ya heshima kutoka kwa mamlaka ya nchi yake, baada ya kukabidhi begi lenye mamilioni ya pesa kwa mmiliki wake, aliloliokota wakati akitokea shamba kuelekea nyumbani. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS