Tutakuwa kama Ulaya - Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba huenda ndani ya kipindi cha miaka mitano ama sita ijayo Tanzania itakuwa kama Ulaya, kwani upo mpango wa kuwepo kwa mabasi yanayotumia umeme kati ya mkoa wa Dar es Salaam ama Dodoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS