Kamati inayochunguza mauaji yaongezewa siku 7 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara na Kilindi, Tanga. Read more about Kamati inayochunguza mauaji yaongezewa siku 7