Tani 10 za Korosho zilizooza zakamatwa Tunduru
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ameendesha oparesheni ya mazao wilayani Tunduru kwa siku 2 mfululizo na kufanikiwa kukamata tani 10 za korosho zilizooza za miaka ya nyuma ambazo hazizalishwi wilayani Tunduru.