BASATA wamfungia Gigy Money na faini Milioni moja
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Gigy Money kwa kutojihusisha na masuala ya burudani na sanaa kwa muda wa miezi 6 pamoja na faini ya Milioni 1 kwa kosa la kudhalilisha utu wake kuonesha mauongo yake ya mwili.