'Spurs Itashangaza wengi msimu huu'' - Mourinho
Kocha wa Totternham Hotspurs, Mreno Jose Mourinho amesema timu yake itawashangaza wengi msimu huu, kwa kuanza kunyakua mataji mbalimbali England akianza na kombe la Carabao, ambalo ameingia fainali jana baada ya kuwafunga 2-0 Brentford.