Man United vs Man City kutimua vumbi Nusu Fainali Nusu Fainali ya Carabao Cup, Man United Vs Man City Baada ya kutoka suluhu kwenye EPL, miamba hii ya jiji la Manchester inakutana tena kwenye nusu fainali ya kombe la Carabao Cup. Read more about Man United vs Man City kutimua vumbi Nusu Fainali