Mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere(Mwenye jezi namna 14) akishangilia bao wakati mnyama akiwaadhibu Kagera Sugar msimu ulipita
Klabu ya Simba ambao ndio mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania bara, jioni ya leo watakua na kibarua cha kukabiliana na Kagera Sugar ikiwa ni muendelezo wa ligi kuu ya Tanzania bara.