Kizungumkuti cha ratiba ya ligi kuu Tanzania bara

Timu ya Ruvu shooting ambayo imebadilishiwa ratiba ya mchezo wake dhidi ya Mwadui

Bodi ya ligi Tanzania (TPBL) imefanya mabadiliko ya ghafla kwenye ratiba ya mchezo mmoja, ambapo mabadiliko hayo yameonesha kuziumiza baadhi ya timu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS