Majaliwa afanya haya kabla ya Magufuli kuapishwa Kassim Majaliwa akiwa na viongozi wengine wa serikali Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa leo Novemba 4, 2020, ameongoza viongozi wakuu wa serikali, kukagua uwanja wa Jamhuri Dodoma. Read more about Majaliwa afanya haya kabla ya Magufuli kuapishwa