Fury amkataa Deontay Wilder

Tyson Furry(kulia), akimsukumia konde Deontay Wilder (kushoto) katika moja ya pigano lao.

Bondia Tyson Fury ambaye ni bingwa wa taji la WBC la uzani wa juu 'heavy' atashiriki ndondi za haiba kubwa jijini London, Uingereza mnamo Disemba 5, 2020 dhidi ya mshindani ambaye atafichuliwa hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS