Rais wa TBF atoa neno, Kurasini Heat mabingwa NBL
Rais wa Shirikisho la mpira wa kikapu nchini (TBF) Phares Magesa, amewapongeza mabingwa wa michuano ya ligi ya taifa ngazi ya vilabu, Kurasini Heat kwa kuleta mapinduzi na kupata mafanikio katika mchezo huo kwa kuzipiku timu kongwe kama Vijana, Pazi na hata Savio.