Teknohama ilivyoinusuru Elimu Tanzania na Corona

Mfano wa Madarasa yalivyokuwa wazi kipindi cha mlipuko wa COVID-19, Tanzania.

Virusi vya Covid-19 maarufu kama Corona, vilitangazwa kwa mara ya kwanza kuwa vimeingia nchini Tanzania, Machi 16, 2020. Tangu wakati huo, hofu iliwakumba watanzania na hatimaye, ikatolewa amri ya ofisi, shule na baadhi ya shughuli za kibiashara kufungwa. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS