CUF kuwasaidia wananchi kuondokana na maafa

Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba.

Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, amesema atakapopata ridhaa ya kuwaongoza Watanzania, serikali yake itashirikiana na Jumuiya ya Umoja wa Kimataifa ili kuweza kuwekeza katika mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS